BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Iran yafikiria njia ya mazungumzo ya nyuklia na Marekani kuzuia vita
Iran imesema iko katika hatua ya kutathmini masharti ya kurejea kwenye mazungumzo ya nyuklia na Marekani, huku pande zote zikionyesha utayari wa kufufua mazungumzo ya kidiplomasia katika mzozo uliodumu kwa miaka mingi.
Mambo 5 makubwa yaliyofichuliwa kutoka kwenye mamilioni ya faili za Epstein
Ufichuzi huo unakuja wiki sita baada ya Rais Donald Trump, kuamuru kwamba nyaraka zote zinazohusiana na Epstein zitolewe kwa umma.
J-20A: Ndege ya China inayobadili mizani ya nguvu za anga duniani
Wataalamu wa kijeshi wanasema J-20A si maboresho ya kawaida, bali ni mabadiliko makubwa yanayolenga kuifanya China kuwa na nguvu kubwa zaidi ya anga, hasa katika eneo la Asia-Pasifiki.
Waziri pekee mwanamke nchini Syria anavyopambana kuleta mabadiliko
Alipokuwa kiongozi wa upinzani uhamishoni, Kabawat anakiri kwamba serikali imefanya makosa tangu vikosi vya waasi vya Rais Ahmed al-Sharaa vilipoingia katika mji mkuu mnamo Desemba 8, 2024.
Kwanini Marekani imebadili msimamo kuhusu mataifa yanayoongozwa kijeshi Afrika Magharibi?
Marekani inaashiria kwamba kurejesha demokrasia sio kipaumbele tena na iko tayari kufanya kazi na Burkina Faso, Mali na Niger.
M23 yaitaka Congo kutoingiza siasa katika vifo vya wachimba migodi Rubaya
Katika taarifa yao, kundi la waasi la M23, limesema kuwa serikali ya Kinshasa inakwepa majukumu ya kuwajibikia vifo hivyo kutokana na utepetevu wao.
Kwanini Israel imekaa kimya wakati Trump akitoa vitisho vipya dhidi ya Iran?
Huku uvumi wa kimataifa kuhusu ongezeko la uwepo wa wanajeshi wa Marekani katika Mashariki ya Kati, viongozi wa Israel wameendelea kuonesha ukimya usio wa kawaida.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Barcelona kuamua mustakabali wa Rashford
Juventus wanamtaka Beto wa Everton, mustakabali wa Marcus Rashford unaweza kuwa nje ya udhibiti wa Manchester United, na Jamaal Lascelles wa Newcastle United anaweza kuwania Ubingwa.
Je, majukwaa ya kijamii yanachochea vipi hasira?
Watu wengi huchangia kutoa maoni na kuchapisha ujumbe licha ya wao kujua kuwa ujumbe huo umetiwa chumvi, muktadha wake sio sahihi, au hata unapotosha.
Kwanini bei ya dhahabu inaongezeka kwa kasi?
Mvutano kati ya Marekani na Jumuiya ya kujihami ya NATO kuhusu eneo la Greenland, imeongeza wasiwasi kuhusu hali ya uchumi duniani.
Marekani yakataa msamaha wa Jenerali Muhoozi wa Uganda
Kwa mujibu wa Seneta Risch, mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni, Marekani itatathmini upya ushirikiano wake wa kiusalama, unaojumuisha vikwazo na ushirikiano wa kijeshi na Uganda.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Je, Marekani inajiandaa kuishambulia tena Iran?
Marekani, yenye jeshi lenye nguvu zaidi duniani, tayari imeshawahi kuonyesha uwezo wake wa kuishambulia Iran. Mnamo Juni mwaka jana, ilitekeleza operesheni iliyopewa jina Operation Midnight Hammer, iliyolenga vituo vya nyuklia vya Iran.
Mwanamke amshikilia mwanamke mwanzake mateka kwa miaka 25
Wixon alimpa mwathiriwa chakula kidogo na hakumruhusu kutoka nje ya nyumba na alilazimika kuoga kwa siri usiku.
Marekani yapeleka meli kubwa ya kivita mashariki ya kati kuna nini?
Manowari ya kubeba ndege inayotumia nishati ya nyuklia ya Lincoln imekuwa ikihudumu chini ya Jeshi la Wanamaji la Marekani tangu 1989 na ni mojawapo ya meli kubwa na za kisasa zaidi za kubeba ndege katika Jeshi la Wanamaji la Marekani.
Kwanini serikali ya DRC inaikataa ripoti ya Human Rights Watch (HRW)?
DRC imekanusha madai yaliyochapishwa katika ripoti ya Human Rights Watch kuhusu usalama wa eneo la Uvira kwa kusema kuwa madai yao hayakuwa ya kweli, na yamechukuliwa nje ya muktadha wa kisheria na kiusalama.
Je, unaweza kulala ndani ya dakika mbili?
Watu wengine huwa na wakati mgumu kulala, wakati wengine hawawezi kulala kabisa. Mamilioni ya watu kote ulimwenguni wanakabiliwa na tatizo hili.
Jenerali wa kijeshi wa China ambaye serikali ina wasiwasi naye
Wizara ya Ulinzi ya China imesema imeanzisha uchunguzi dhidi ya Jenerali wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi nchini humo, ikimtuhumu kwa "ukiukaji mkubwa wa nidhamu na sheria."
'Nusu ya marafiki zangu waliuawa' - wasichana wanaorejea katika shule iliyojikuta katikati ya vita
Pacha ambao wanafunzi wenzao waliiuawa katika shabulio la makombora wanasema vifo vyao vimewafanya waazimie kumaliza masomo yao.
'Msitupeleke hospitalini': Waandamanaji wa Iran wanaotibiwa kwa siri wakikwepa kukamatwa
Kiwango kamili cha umwagaji damu uliotokana na ukandamizaji wa vikosi vya usalama dhidi ya maandamano ya kupinga serikali yaliyokumba Iran mwezi huu bado hakijajulikana.
Mpasuko wa 'chungwa' ndio kifo cha chama cha Raila Odinga - ODM?
''Chungwa'' ni nembo ya chama cha Orange Democratic Movement nchini Kenya ambalo limekuwepo kwa miongo miwili sasa, na ambalo kwa sasa baadhi ya wafuasi wake na hata wachambuzi wa kisiasa wanasema kwamba huenda likapasuka vibaya.
Maeneo ambayo Marekani ilinunua katika historia yake ili kuunda nchi inayoonekana leo
Donald Trump anataka Greenland iwe sehemu ya Marekani na hata amewahi kupendekeza uwezekano wa kuinunua kutoka kwa Ufalme wa Denmark, ambao kisiwa hicho ni mali yake.
Aliwahi kuwakosoa viongozi wa Afrika wanaong'ang'ania madaraka. Sasa ataongoza muhula wa saba
Raia wa Uganda walio na umri wa chini ya miaka 40 - na ambao ni zaidi ya robo tatu ya watu - wamemfahamu rais mmoja tu.
'Ananyanyaswa na kufuatiliwa kila hatua': Nyota wa muziki anayemkabili rais wa muda mrefu wa Uganda
Kwa mvuto wake wa kipekee, uthubutu na uwezo wa kujiweka karibu na wananchi wa kawaida, nyota wa muziki Bobi Wine ametingisha siasa za Uganda.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 3 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 2 Februari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 2 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 2 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani

























































